Teachers
Teachers Login as registered.
Staff
Staff Login as registered.
LATEST
News & Updates
KARIBU KATIKA MFUMO WETU WA KUPEANA TAARIFA
Karibuni katika mfumo wetu tumebadilisha utaratibu wa kuingia kwani sasa tunaweza kutumia username na password (au pin) kwa atakaeshindwa kuingia awasiliane na mwalimu wa darasa kwa msaada zaidi. Ahsanteni na karibuni mtoe maoni yenu kwa uhuru nasi tutayafanyia kazi kwa haraka zaidi.
Namna ya kutumia kwa wazazi
Tazama namna ya kupata matokeo, malipo na taarifa nyingine ndani ya mfumo.